mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
Uje uchukue maparachichi yako,mwisho yataharibika 😀😀😀Usisahau kushuka huko mtini na maparachichi mawili bibie[emoji12]
Hahaha majukumu yanachangiaHuu uzi bora ufutwe,maana siku hizi JF haina usiku wa manane tena, watu wanalala fofofo........
Bahati yako,sijaiona vinginevyo ungenitajia jina langu la kilugha nililopewa na bibi mzaa mama 😉😉😉Hahaha aliniambia yeye ni bonge miti yake ni miparachichi tu[emoji40] [emoji125] (Mungu saidia asione hii reply)
Basi uzi ufutwe ili watu wawajibike, majukumu yakiisha urudishwe....🙂🙂🙂Hahaha majukumu yanachangia
Karibu umananeni............Twende sawa.
Amna bana usifutwe punguza jazba miss, leo ndo kwanza j3 imepitaBasi uzi ufutwe ili watu wawajibike, majukumu yakiisha urudishwe....🙂🙂🙂
Loooh majukumu ya mtu mmoja tu ndo uzi ufutwe? Hakuna usawa hapo napingaBasi uzi ufutwe ili watu wawajibike, majukumu yakiisha urudishwe....🙂🙂🙂
Hehehhe kumekucha♧♧Loooh majukumu ya mtu mmoja tu ndo uzi ufutwe? Hakuna usawa hapo napinga
Haya ngoja nipunguze munkari............mzima wewe ndugu?Amna bana usifutwe punguza jazba miss, leo ndo kwanza j3 imepita
Bukheri wa afya hofu na shaka juu yako wewe missHaya ngoja nipunguze munkari............mzima wewe ndugu?
Sasa tufanyeje ilihali watu wanakimbia jukumu la umanane hapa?Loooh majukumu ya mtu mmoja tu ndo uzi ufutwe? Hakuna usawa hapo napinga
Namshukuru aliye juu,ananipigania na sasa nimeiona siku ya tatu ya mwezi OktobaBukheri wa afya hofu na shaka juu yako wewe miss
Ni kwel, Hongera sana za majukumu?Namshukuru aliye juu,ananipigania na sasa nimeiona siku ya tatu ya mwezi Oktoba
Bado bhana au wewe uko wapiHehehhe kumekucha♧♧
Tuvumiliane tu hakuna namnaSasa tufanyeje ilihali watu wanakimbia jukumu la umanane hapa?