JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mimi nipo chumban kwangu
Hapo nime maanisha watu watakuja kwa kuipingana /kukubali hoja ya Thad
Umekuwa too open and polite. Niliuliza kuwa uko wapi kumeshakucha? Maana ndo kwanza usiku umeingia

Hahahhaha nimekupata asante
 
Uje utetee point yako kwasababu gani uzi ufutwe wakati hata wewe kabla ya usiku wa manane kuingia umeshalala zamani sana, naipinga point yako kwa asilimia miambili [emoji125][emoji125][emoji125]
Ufutwe kwasababu,siku hizi wadau wanalala fofofo.....wewe mwenyewe ulipita hapa kufunga geti ulivyoamka kwenda kuchimba dawa 😉😉
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu nitake radhi mwenzio nilikuwa mitaa mingine nazunguka tuu kurudi wote kimya nilinunaaa balaah
Teh! Teh! Eti ulinuna,si ungewaita jirari zako waje kukupa kampani?
Hivi wako wapi siku hizi jirani zako akina Kichwa Kichafu, Nleterewa, jje's,Manga ML.............. n.k?
 
Kawagonge milango hao jirani zako, vinginevyo napiga kampeni huu uzi ufutiliwe mbali tujue moja
Ahahahaaaaaa [emoji119][emoji119][emoji119] acha tuu ufutwe shogaangu sina huo uwezo wa kichwa kichafu maana ndio kabarikiwa sio kwa kugonga milango ya watu tuu bali na kupiga chabo pia [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom