Waooo. It sounds good and strongNamshukuru aliye juu,ananipigania na sasa nimeiona siku ya tatu ya mwezi Oktoba
Bado bhana au wewe uko wapi
Au unamaanisha nn?
Sawa best, ngoja tusongeshe mdogomdogo.........Tuvumiliane tu hakuna namna
Mim nzuri kias!!! Cku yako imeendajeNjema kabisa, sijui kwa upande wako
Yes dear,kuna waliotamani kuiona leo lakini hawakufanikiwa,hivyo yatupasa kumshukuru MuumbaWaooo. It sounds good and strong
Kwanini kiasi? Yangu ilikuwa njema sanaMim nzuri kias!!! Cku yako imeendaje
Tupoo..!!!!!!!![emoji113]mpo wakuu
Tupo kiongozi..........karibu tulisongeshempo wakuu
nawaona nawaonaTupoo..!!!!!!!![emoji113]
Na sumbuliwa na nafua kidogo, na ndio ugonjwa na uchukia kuliko yoteKwanini kiasi? Yangu ilikuwa njema sana
naam nimekaribiaTupo kiongozi..........karibu tulisongeshe
Salama lakin huko captain[emoji61]nawaona nawaona
Watafuta nini kiongozi?Natafuta
huku salama tu mkuu sijui ukoSalama lakin huko captain[emoji61]
Huku njema kias, tunapumua bure michakato inaendajehuku salama tu mkuu sijui uko
Jisikie uko nyumbani.........naam nimekaribia
nashukuru Mungu inaenda kama alivyopangaHuku njema kias, tunapumua bure michakato inaendaje
shukrani mkuuJisikie uko nyumbani.........