Umekuwa too open and polite. Niliuliza kuwa uko wapi kumeshakucha? Maana ndo kwanza usiku umeingiaMimi nipo chumban kwangu
Hapo nime maanisha watu watakuja kwa kuipingana /kukubali hoja ya Thad
YapSawa best, ngoja tusongeshe mdogomdogo.........
Umenena vyemaYes dear,kuna waliotamani kuiona leo lakini hawakufanikiwa,hivyo yatupasa kumshukuru Muumba
Pole sana,lamba asali mbichi/ kunywa maji ya uvuguvugu yenye chumvi kidogoNa sumbuliwa na nafua kidogo, na ndio ugonjwa na uchukia kuliko yote
Lala salama dear..........nami ngoja nilale,jamani msisahau kufunga geti kwa wakati 🙂🙂🙂Time to sleep time to say gbyeeeee
Hatujambo! wewe je, unajambo?Oct. 3,popo hamjambo?
Uje utetee point yako kwasababu gani uzi ufutwe wakati hata wewe kabla ya usiku wa manane kuingia umeshalala zamani sana, naipinga point yako kwa asilimia miambili [emoji125][emoji125][emoji125]Huu uzi bora ufutwe,maana siku hizi JF haina usiku wa manane tena, watu wanalala fofofo........
Ufutwe kwasababu,siku hizi wadau wanalala fofofo.....wewe mwenyewe ulipita hapa kufunga geti ulivyoamka kwenda kuchimba dawa 😉😉Uje utetee point yako kwasababu gani uzi ufutwe wakati hata wewe kabla ya usiku wa manane kuingia umeshalala zamani sana, naipinga point yako kwa asilimia miambili [emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ufutwe kwasababu,siku hizi wadau wanalala fofofo.....wewe mwenyewe ulipita hapa kufunga geti ulivyoamka kwenda kuchimba dawa 😉😉
Teh! Teh! Eti ulinuna,si ungewaita jirari zako waje kukupa kampani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu nitake radhi mwenzio nilikuwa mitaa mingine nazunguka tuu kurudi wote kimya nilinunaaa balaah
Tuko pande hii, kuya huku tupige stori mbili tatu chaliiPeoplezzz mko pande gan!! In kenyata voice
[emoji350]
Mwenzangu sijui wamepatwa na nini jamani sio kwa kulala huko loohTeh! Teh! Eti ulinuna,si ungewaita jirari zako waje kukupa kampani?
Hivi wako wapi siku hizi jirani zako akina Kichwa Kichafu, Nleterewa, jje's,Manga ML.............. n.k?
Kawagonge milango hao jirani zako, vinginevyo napiga kampeni huu uzi ufutiliwe mbali tujue mojaMwenzangu sijui wamepatwa na nini jamani sio kwa kulala huko looh
Hahahah.!!! Mzima wewe mremboTuko pande hii, kuya huku tupige stori mbili tatu chalii
Nambie madame...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu nitake radhi mwenzio nilikuwa mitaa mingine nazunguka tuu kurudi wote kimya nilinunaaa balaah
Ahahahaaaaaa [emoji119][emoji119][emoji119] acha tuu ufutwe shogaangu sina huo uwezo wa kichwa kichafu maana ndio kabarikiwa sio kwa kugonga milango ya watu tuu bali na kupiga chabo pia [emoji23][emoji23]Kawagonge milango hao jirani zako, vinginevyo napiga kampeni huu uzi ufutiliwe mbali tujue moja
Mie buheri wa afya, hofu kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yanguHahahah.!!! Mzima wewe mrembo