Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Halleluyah, sijui naota au ni kweli nimekuona[emoji12] [emoji125]Haswaaa leta maneno
Hahahaha [emoji119] [emoji119]Tatizo sio ndoto bali ni sehemu uliyootea, tangu lini ndoto za Mirembe zikatimia?πππ
01:2600:22
Bila shaka huyo atakuwa bundi mtoto, maana bundi mkubwa kama alibakari analilia kwenye miti mikubwa mikubwa tena mirefuKuna bundi nilisikia alijeruhiwa na manati, alienda kulilia karibu na dirisha la binaadamu sijui atakua ndo yeye[emoji40]
hahahaha wanajua tu kuwa jambo baya liko karibu kutokea!Salama kabisa bundi ArleN:
Mbona siku izi watu wakikusikia unalia mtaani kwao hawawi na amani?
Hahaha kwa kweli haya maneno yake ndo yanafanyaga niondoke kimya kimya, ukiaga tu unasindikizwa nayo[emoji12] [emoji40]Hivi tafsiri kwa kiswahili inakubali kweli[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Nafurahi kusikia umepona, usirudie tena kunimiss sana mpaka upelekwe Mirembe,uwe unamwambia jje's awe anakuja kuniita. Ila uwe unamwambia kwa kile kilugha chenu ili wengine wasielewe.....πππHahahaha [emoji119] [emoji119]
Wewe sikuwezi nimejikuta napona gafla
Nipo ndo kumekucha huku jfNafurahi kukuona muda huu,mahali hapa
hahaha nipo aisee bundi mwenzangu..Bundi wewe ulipotelea wapi? au na wewe ulikuwa unatafuta watoto?
Hahahah kwanini lakini hampendi kupumzika kwa amani nyie watu? Mnapenda sana vurugu,purukushani na makelele sio?Hahaha kwa kweli haya maneno yake ndo yanafanyaga niondoke kimya kimya, ukiaga tu unasindikizwa nayo[emoji12] [emoji40]
Ni ukweli kabisaaa, nilikuwa nimelala naota nasoma msg zenu za kumisiani ikabidi niamke nione kulikoni[emoji38] [emoji38] [emoji38]Halleluyah, sijui naota au ni kweli nimekuona[emoji12] [emoji125]
Hahaha yawezekana, kwa kweli bundi alibakari nimezisikia sifa zake, miti yake huwa ni mikubwa na kabla hajaondoka lazima apige selfie[emoji40] [emoji125]Bila shaka huyo atakuwa bundi mtoto, maana bundi mkubwa kama alibakari analilia kwenye miti mikubwa mikubwa tena mirefu
UmeonaeeeeNafurahi kusikia umepona, usirudie tena kunimiss sana mpaka upelekwe Mirembe,uwe unamwambia jje's awe anakuja kunita. Ila uwe unamwambia kwa kile kilugha chenu ili wengine wasielewe.....πππ
Leo uko vizuri,wacha nikuachie kijiti............nipumzike zangu kwa amani! πππNipo ndo kumekucha huku jf
Una rest in peace sio?Leo uko vizuri,wacha nikuachie kijiti............nipumzike zangu kwa amani! πππ
Kama kupumzika kwa amani ndo R.I.P wacha niendelee na vurugu na purukushani zangu[emoji6]Hahahah kwanini lakini hampendi kupumzika kwa amani nyie watu? Mnapenda sana vurugu,purukushani na makelele sio?
Yaani sijawahi fikiri nikiyageuza kwa kiswahili yanaweza leta maana hiyoHahaha kwa kweli haya maneno yake ndo yanafanyaga niondoke kimya kimya, ukiaga tu unasindikizwa nayo[emoji12] [emoji40]
Me downAny one up?