Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana huko Mirembe umetoroka au umepona?Hahaha hunizidi mimi kwa kweli, mie nilikumis mpaka nikapelekwa boarding Mirembe[emoji39] [emoji12]
Bado kidogo ufanyeje? uishe au uanze?Usiku wenyewe ndo huu au bado kidogo
Hahaha huo nimeuamini baada ya kukuona kwenye kikombe cha chai, lakini nikiwa mirembe[emoji40]Hahaha! Ina maana leo umeamini maneno ya wahenga kuwa mtu anakumbukwa sana mpaka anaonekana kwenye glass ya maji?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha hunizidi mimi kwa kweli, mie nilikumis mpaka nikapelekwa boarding Mirembe[emoji39] [emoji12]
Hahaha wameamua kunihamishia day, baada ya maendeleo kua sio mabaya[emoji39] [emoji125]Ina maana huko Mirembe umetoroka au umepona?
Kama umenionea Mirembe, basi huu msemo wa wahenga sio wa kweliHahaha huo nimeuamini baada ya kukuona kwenye kikombe cha chai, lakini nikiwa mirembe[emoji40]
Hahaha kwa hili jibu, sioni dalili ya salamu kufikishwa sehemu husika[emoji40]Haina shida mpenzi nitaziweka paragraph ya pili kutoka mwisho [emoji6]
Kumbe uko day, njoo basi hapa chako n' chako tule kuku choma na local wine kutoka HomboloHahaha wameamua kunihamishia day, baada ya maendeleo kua sio mabaya[emoji39] [emoji125]
Umeona eeeh! mimi nimeligundua hilo nikaamua nikaushe tuHahaha kwa hili jibu, sioni dalili ya salamu kufikishwa sehemu husika[emoji40]
Hahaha itakua ukweli bhana, mbona hata kwenye mboni ya jicho la mwenzangu nilikuona?[emoji40] [emoji125]Kama umenionea Mirembe, basi huu msemo wa wahenga sio wa kweli
Ala kumbe unamaanisha kuwa usiku wa manane unaanza saa 8,au sio?Uanze mkuu
[emoji39] [emoji39] [emoji39]Kumbe uko day, njoo basi hapa chako n' chako tule kuku choma na local wine kutoka Hombolo
Nanawasiwasi na dk. na vyeti vya dr. aliyekuhamishia day wakati hali yako bado ni tete 🙂🙂🙂Hahaha itakua ukweli bhana, mbona hata kwenye mboni ya jicho la mwenzangu nilikuona?[emoji40] [emoji125]
Ngoja tusubiri mpokea salamu kama ataleta mrejesho kama kazipata salamuUmeona eeeh! mimi nimeligundua hilo nikaamua nikaushe tu
Hahaha jichoree mwenyewe utoroke uje[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Unanitamanisha ujue sema saivi niko nimefungiwa ndani nasubiri wanichoree mlango nitoroke nije[emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]Nanawasiwasi na dk. na vyeti vya dr. aliyekuhamishia day wakati hali yako bado ni tete 🙂🙂🙂