Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi wadau mmekuwa adimu sana mpaka nimeandaa mswada wa kufuta huu uziNimekaribia, aka popo kongwe[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wacha weeh, usiku hulali lakini unamuota yeye[emoji12]Hatimae waonekana live, baada ya kukumiss mno mpaka nikawa nakuona kwenye glass ya maji 🙂🙂🙂🙂🙂
Mkuu siku izi huko ulipotekwa maombi yanahitajika,[emoji40]
Yeye nilikuwa namuona kwenye glass, ila wewe ndo nilikuwa nakuota mchana kutwa 😉😉😉Wacha weeh, usiku hulali lakini unamuota yeye[emoji12]
Jirani yake akiona hiyo mistari sijui kama atakuelewa[emoji40] [emoji125]
Ooh jaman, basi ukimpata mpe pole mwambie nahitaji Posta address nimtumie baruaMupenzi Iceman alipata tatizo la macho so hatumii simu mara nyingi mm mwenyewe napata shida kumpata kwa simu
Hahahah bila shaka mmetekewa mtaa mmoja....... wacha nianze maombi ya ukomboziMkuu siku izi huko ulipotekwa maombi yanahitajika,[emoji40]
Jirani yangu kipenzi
Siku utakayo mwandikia barua tafadhali, usisahau salamu zangu!Ooh jaman, basi ukimpata mpe pole mwambie nahitaji Posta address nimtumie barua
Namuelewa sana jirani yangu kichwa chake siunajua ni kichafu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha weeh, usiku hulali lakini unamuota yeye[emoji12]
Jirani yake akiona hiyo mistari sijui kama atakuelewa[emoji40] [emoji125]
Bila shaka mmepata mapacha watatu,maana si kwa utafutaji huoTulikuwa tunatafuta watoto[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha kwaiyo me namissiwa tu lakini wengine mpaka kwenye glass wanaonekana[emoji85]Nleterewa Nganengo sema neno nami ili moyo wangu utulie..........naumwa kwa kukumiss
Haina shida mpenzi nitaziweka paragraph ya pili kutoka mwisho [emoji6]Siku utakayo mwandikia barua tafadhali, usisahau salamu zangu!
Hahaha hunizidi mimi kwa kweli, mie nilikumis mpaka nikapelekwa boarding Mirembe[emoji39] [emoji12]Yeye nilikuwa namuona kwenye glass, ila wewe ndo nilikuwa nakuota mchana kutwa 😉😉😉
Hahaha! Ina maana leo umeamini maneno ya wahenga kuwa mtu anakumbukwa sana mpaka anaonekana kwenye glass ya maji?Hahaha kwaiyo me namissiwa tu lakini wengine mpaka kwenye glass wanaonekana[emoji85]
Ila sio mbaya mimi nilikumis hata kabla hujazaliwa ujue[emoji12] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Namuelewa sana jirani yangu kichwa chake siunajua ni kichafu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]