JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Jamani mnanivunja mbavu mwenzenu.........kwa hiyo uchafu wa kichwa chake ndo wa kulaumiwa sio yeye.
Ila best una kazi na hao jirani zako maana Manga ML naye kasema hako kamchezo ni katamu bila shaka hajakuacha salama, mchunguze
Manga shemeji yangu hapo najua kiroho kinamuuma japo hatoweza ku disclose information kwa ndugu yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo shurti ajibaraguze
 
Back
Top Bottom