naona leo mpaka sasa bado upo aiseeUna rest in peace sio?
Yes dear, na R.I.P nowUna rest in peace sio?
[emoji15] [emoji15]Ni ukweli kabisaaa, nilikuwa nimelala naota nasoma msg zenu za kumisiani ikabidi niamke nione kulikoni[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Haya bwana, mi ngoja ni R.I.P tutaonana kesho kunako majaliwa ya Mwenye Enzi!Kama kupumzika kwa amani ndo R.I.P wacha niendelee na vurugu na purukushani zangu[emoji6]
[emoji40] [emoji40] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125]Nafurahi kusikia umepona, usirudie tena kunimiss sana mpaka upelekwe Mirembe,uwe unamwambia jje's awe anakuja kuniita. Ila uwe unamwambia kwa kile kilugha chenu ili wengine wasielewe.....😉😉😉
Nimeona kaka angu anamisiwa sana humu nikasema lazima nione anayrmmisi ni nani na kwa mpango upinaona leo mpaka sasa bado upo aisee
Hahahhahaha for sure i cant you[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Yes dear, na R.I.P now
Umeonaeeee ndo maana nikashtuka[emoji15] [emoji15]
Ohoooh hizo ndoto sio nzuri sana za kukemea kabisa, alafu ujue ndoto za jumatano kwenda alhamisi zina uwongo sana[emoji12] [emoji125]
more than one actuallyAny one up?
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Una rest in peace sio?
Ulae sekoni msacha oko[emoji15] [emoji15]
Ohoooh hizo ndoto sio nzuri sana za kukemea kabisa, alafu ujue ndoto za jumatano kwenda alhamisi zina uwongo sana[emoji12] [emoji125]
[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23]Yaani sijawahi fikiri nikiyageuza kwa kiswahili yanaweza leta maana hiyo
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] huyu Tha I cant her kabisaa
hahahah ndo maana kaka mwenyewe anasema ndoto za j5 na alhamisi zina ulakini...nashindwa kuelewa kwanini haziamini wakati zimethibitisha ulichokuwa unakiota kuwa ni kweliNimeona kaka angu anamisiwa sana humu nikasema lazima nione anayrmmisi ni nani na kwa mpango upi
Ndio kusudi la kuniona hadi sasa
After all nimeota nikashtuka
itakuwa usingizi si bureWatu naona keyboard hazionekana vzr
Sawa lakini kwa shingo upande ujue au na wewe ndo unatekwa ivyo[emoji85] [emoji125]Haya bwana, mi ngoja ni R.I.P tutaonana kesho kunako majaliwa ya Mwenye Enzi!
Hii lugha yenu imenirudisha vuruguni........hivi ni ya kabila gani hii?Ulae sekoni msacha oko
Hi jje's mambozNaona niko mwenyewe acha nijilaze kimya kimya