JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ni ukweli kabisaaa, nilikuwa nimelala naota nasoma msg zenu za kumisiani ikabidi niamke nione kulikoni[emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji15] [emoji15]
Ohoooh hizo ndoto sio nzuri sana za kukemea kabisa, alafu ujue ndoto za jumatano kwenda alhamisi zina uwongo sana[emoji12] [emoji125]
 
Nafurahi kusikia umepona, usirudie tena kunimiss sana mpaka upelekwe Mirembe,uwe unamwambia jje's awe anakuja kuniita. Ila uwe unamwambia kwa kile kilugha chenu ili wengine wasielewe.....😉😉😉
[emoji40] [emoji40] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125]
 
Nimeona kaka angu anamisiwa sana humu nikasema lazima nione anayrmmisi ni nani na kwa mpango upi
Ndio kusudi la kuniona hadi sasa
After all nimeota nikashtuka
hahahah ndo maana kaka mwenyewe anasema ndoto za j5 na alhamisi zina ulakini...nashindwa kuelewa kwanini haziamini wakati zimethibitisha ulichokuwa unakiota kuwa ni kweli
 
Back
Top Bottom