JamiiForums Usiku wa manane

hahahah ndo maana kaka mwenyewe anasema ndoto za j5 na alhamisi zina ulakini...nashindwa kuelewa kwanini haziamini wakati zimethibitisha ulichokuwa unakiota kuwa ni kweli
Hahaha mkuu huu uchochezi ujue[emoji40] [emoji125]
 
Ataniteka nani mie? Labda nijiteke mwenyewe ili nami niionje ladha ya kutekwa πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
Njoo nikuonjeshe ladha yake, ila mimi nikikuteka sidhani kama utarudi, style yangu ni ile ya kukufungia kwenye mifuko ya sandarusi na kutumbukizwa baharini[emoji85] [emoji125] [emoji125]
 
Ohooo wacha nijirestishe mwenyewe,maana naona unataka niote ndoto mbaya japo umesema ndoto za leo ni za uongo
Hahaha nisubiri bana turest wote, ujue niko tayari kung'olewa kucha na meno kwa ajili yako[emoji85] [emoji40] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…