Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Ha ha haaaa aje aone hapo nazani atafurahia mafundishoHahaha kabisa mkuu, facilities zote za kufundishia na kujifunza ninazo mpaka bakora isiyo na maumivu[emoji85] [emoji40] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaaa aje aone hapo nazani atafurahia mafundishoHahaha kabisa mkuu, facilities zote za kufundishia na kujifunza ninazo mpaka bakora isiyo na maumivu[emoji85] [emoji40] [emoji125]
Hahaha katuambia mwenyewe alikua anapiga chabo kwa jirani yake, sasa sijajua jirani yake ndo nani huyo asiye julikana sipati jibu[emoji40]Jamani mbona hivyo lakini mie nipo bado kk sijui kaenda wapi
Hivi unajificha wapi kwani haupo na mdogo wangu kweli?Jamani mbona hivyo lakini mie nipo bado kk sijui kaenda wapi
Hahaha tatizo mkorofi sana, ngoja tusubiri jibu lake kama atakua tayari kwa mafunzo.Ha ha haaaa aje aone hapo nazani atafurahia mafundisho
Nipe maelezo kamili Manga usinitanieNdomana nikasema nnashaka na wewe ana kila ukiingia humu unapotea na kuonekana tena baadae utakua umemficha ndugu yangu si bure
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu huyu siku izi nasikia ametekwa na kupiga chabo kwa jirani, anachungulia tu na kupotea na jirani yake[emoji40]
Hana namna amevutiawa sana na akiona kuna fimbo isioumiza atavutia zaidi ha ha haaaHahaha tatizo mkorofi sana, ngoja tusubiri jibu lake kama atakua tayari kwa mafunzo.
Nambie mdogo wangu umemficha wapi?Nipe maelezo kamili Manga usinitanie
Yaan wewe akili zako basi tuuKabisa mkuu, kuna walioimba kwetu pazuri saivi nasikia wamebadilisha wanaimba ni kwa nini umeyaruhusu[emoji40] [emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hana namna amevutiawa sana na akiona kuna fimbo isioumiza atavutia zaidi ha ha haaa
Hakosi la kusema yule
Eti unapigwa chabo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah nipo na the last ship [emoji568] aiseeh captain Chandler ananimaliza kabisa I love this guyUmerudi eeh?
Unaweza eleza ulipokua?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha me najua zitafika bhana nilikua namrusha roho kidogo, ujue we una roho nzuri sana, nimeona unavyomjali jirani yako[emoji40] [emoji125]
Nilimwambia wewe ni shemeji yangu labda kasahau[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu umwambie mii sio jirani yako mana kuna sehem kanijumlisha
Ndomanaaa unachungulia na kuludi channel gani hizoDaah nipo na the last ship [emoji568] aiseeh captain Chandler ananimaliza kabisa I love this guy
Hahaha zimefanyaje jirani mwema wa mtekwaji[emoji85] Usihofu zitarudi kwenye hali yake ya kawaida nikimaliza hii kozi fupi hapa mirembe, tuvumiliane tu kwakweli[emoji40]Yaan wewe akili zako basi tuu
Yale macho yake yapiga chabo popote hata akiwa dukani waweza sema ni mwizi [emoji23][emoji23]Hahaha katuambia mwenyewe alikua anapiga chabo kwa jirani yake, sasa sijajua jirani yake ndo nani huyo asiye julikana sipati jibu[emoji40]
Hivi na yeye ni wa muda nimeona aki mmiss iceman kua kitambo hajamuonaNilimwambia wewe ni shemeji yangu labda kasahau