Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Ohooh, itabidi akiamka aje na maelezo yaliyojitosheleza, labda atuonyeshe sms M-pesa kutoka kwako ndo kutakua na utulivu[emoji40]Kwa sababu jje's kajirestisha in peace....basi wacha na mimi nipumzike kwa amani
Pole mwayaNimeona kaka angu anamisiwa sana humu nikasema lazima nione anayrmmisi ni nani na kwa mpango upi
Ndio kusudi la kuniona hadi sasa
After all nimeota nikashtuka
Anautani wa kweli huyu wee muache tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahhahaha for sure i cant you[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Nakuachia kijiti,usisahau kufunga geti tafadhaliUnatoroka lindo lako eeh?
Kabisa mkuu, kuna walioimba kwetu pazuri saivi nasikia wamebadilisha wanaimba ni kwa nini umeyaruhusu[emoji40] [emoji24]Hili neno limezoeleka mahala pasipo pendwa na watu tafdhali usilitumie kwa mapumziko mafupi
Jilaze kifudifudi sasa usije ota ndoto tam ukishtuka inakuachia hasiraNaona niko mwenyewe acha nijilaze kimya kimya
Bado huja rest?Hii lugha yenu imenirudisha vuruguni........hivi ni ya kabila gani hii?
Sijawahi funga get japo nakwepo mpaka kucheleNakuachia kijiti,usisahau kufunga geti tafadhali
Atuache kabisa bado hatuja maliza rubudaniKabisa mkuu, kuna walioimba kwetu pazuri saivi nasikia wamebadilisha wanaimba ni kwa nini umeyaruhusu[emoji40] [emoji24]
Zitafika banah embu acha uchochezi basi na wewe [emoji6]Hahaha kwa hili jibu, sioni dalili ya salamu kufikishwa sehemu husika[emoji40]
Huu ni mchanganyiko wa Kimtang'ata, Kimvita na Kikongo kwa mbaali, uje nikupe tuishieni[emoji40]Hii lugha yenu imenirudisha vuruguni........hivi ni ya kabila gani hii?
Umerudi eeh?Zitafika banah embu acha uchochezi basi na wewe [emoji6]
Majirani zangu tatizo lao unalijua sasa ukikubali wakupoteze hiyo ni hiyari yako nitasikitika kama utamuamini aliyetoka mirembe [emoji23][emoji23][emoji23]Umeona eeeh! mimi nimeligundua hilo nikaamua nikaushe tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39] [emoji39] [emoji39]
Unanitamanisha ujue sema saivi niko nimefungiwa ndani nasubiri wanichoree mlango nitoroke nije[emoji125]
Hahaha me najua zitafika bhana nilikua namrusha roho kidogo, ujue we una roho nzuri sana, nimeona unavyomjali jirani yako[emoji40] [emoji125]Zitafika banah embu acha uchochezi basi na wewe [emoji6]
Tena aje without kabisa mana huo mchanganyiko si waki totoHuu ni mchanganyiko wa Kimtang'ata, Kimvita na Kikongo kwa mbaali, uje nikupe tuishieni[emoji40]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Majirani zangu tatizo lao unalijua sasa ukikubali wakupoteze hiyo ni hiyari yako nitasikitika kama utamuamini aliyetoka mirembe [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Majirani zangu tatizo lao unalijua sasa ukikubali wakupoteze hiyo ni hiyari yako nitasikitika kama utamuamini aliyetoka mirembe [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha kabisa mkuu, facilities zote za kufundishia na kujifunza ninazo mpaka bakora isiyo na maumivu[emoji85] [emoji40] [emoji125]Tena aje without kabisa mana huo mchanganyiko si waki toto
Jamani mbona hivyo lakini mie nipo bado kk sijui kaenda wapiNaona Kichwa Kichafu ashajitwalia jirani yake mpendwa Neybright na kuelekea kusikojulikana[emoji40]