JamiiForums Usiku wa manane

Yale macho yake yapiga chabo popote hata akiwa dukani waweza sema ni mwizi [emoji23][emoji23]
Ohoooh mtu na jirani yake mnajuana vyema kumbe, mpaka mnafanya wote shopping kwenye duka la Mangi[emoji85] [emoji40]. Mrudishe basi hata umtupe ununio tukamwokote[emoji40]
Ila jirani roho yako nzuri sana, hakika unahitajika kupata tuzo ya Nobel[emoji125]
 
Ha ha haaaa mkuu angalia usije hamia karibu mana si kwa misifa hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…