[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]NIMEPATA HABARI ZA KUSHTUSHA!! IMEBIDI NIJE HARAKA KUOKOA JAHAZI,Uzi huu hautafutwa mpaka maBUNDI na POPOOOOOz watakapoanza kulala........Tutapishana humu humu tu.PopoooooooooooooZ karibuni sana!
Niko hapa natafuta kofuli la kufungia geti.
Afadhali, Bundi Thad usome hapa.NIMEPATA HABARI ZA KUSHTUSHA!! IMEBIDI NIJE HARAKA KUOKOA JAHAZI,Uzi huu hautafutwa mpaka maBUNDI na POPOOOOOz watakapoanza kulala........Tutapishana humu humu tu.PopoooooooooooooZ karibuni sana!
Juzi,jana na leo[emoji19]jamani usiku mwema
Lala ukue Mase ha ha haa usingizi mtam sana aseeNipo manga. Lakini kama hapa nija usingizi gunia zima.
Mwanzo ni saa 6:00 mkuu na mwisho saa 11 alfajir05:00
Mie sio wa kitambo sana ila nilibahatika kuonana na Iceman 3D mitaani kipindi naaingia katika jiji hili la JF,alikuwa ananisalimia sio kama wengine nyinyi mlikuwa mnanipita kama hamnioni ati kwa kuwa tu nilikuwa jogoo la shamba........hakika ana roho nzuri kama shogaangu Neybright,nawaombea mapenzi yao yastawiHivi na yeye ni wa muda nimeona aki mmiss iceman kua kitambo hajamuona
Alaah! kumbe ni kibantu,ujue mie sio mbantu ndo maana nilitoka kapa hapaHuu ni mchanganyiko wa Kimtang'ata, Kimvita na Kikongo kwa mbaali, uje nikupe tuishieni[emoji40]
Kwani wewe ulikua unasalimia ungesema alikuvutia tu ungesomeka sio uzunguke ha ha haaMie sio wa kitambo sana ila nilibahatika kuonana na Iceman 3D mitaani kipindi naaingia katika jiji hili la JF,alikuwa ananisalimia sio kama wengine nyinyi mlikuwa mnanipita kama hamnioni ati kwa kuwa tu nilikuwa jogoo la shamba........hakika ana roho nzuri kama shogaangu Neybright,nawaombea mapenzi yao yastawi