JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

NIMEPATA HABARI ZA KUSHTUSHA!! IMEBIDI NIJE HARAKA KUOKOA JAHAZI,Uzi huu hautafutwa mpaka maBUNDI na POPOOOOOz watakapoanza kulala........Tutapishana humu humu tu.PopoooooooooooooZ karibuni sana!
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hivi na yeye ni wa muda nimeona aki mmiss iceman kua kitambo hajamuona
Mie sio wa kitambo sana ila nilibahatika kuonana na Iceman 3D mitaani kipindi naaingia katika jiji hili la JF,alikuwa ananisalimia sio kama wengine nyinyi mlikuwa mnanipita kama hamnioni ati kwa kuwa tu nilikuwa jogoo la shamba........hakika ana roho nzuri kama shogaangu Neybright,nawaombea mapenzi yao yastawi
 
Kwani wewe ulikua unasalimia ungesema alikuvutia tu ungesomeka sio uzunguke ha ha haa

Mbona mimi hatujakutana?
 
Back
Top Bottom