Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Marhabaaah! Za utokako?Kumbe hampokei salam ninyi mlio online!
Kwa herini na usiku mwema kwenu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marhabaaah! Za utokako?Kumbe hampokei salam ninyi mlio online!
Kwa herini na usiku mwema kwenu!
Inaelekea unamjua vyema eeehAsivyopenda kesi huyo, basi tutamsahau humu
Nilijua tu utaruka kesi mshiki, ujue nitaweka ushahidi wa kwenye ule uzi wa kucha ndefu[emoji40] [emoji125]Hakika sitasema lolote, mchana nimemuuliza ametekwa na nani akajibu atakuja kujibu mwenyewe huku.
Bado namsubiri ajibu
Hahahahahaha kwani kesi inanihusu mkuu?Nilijua tu utaruka kesi mshiki, ujue nitaweka ushahidi wa kwenye ule uzi wa kucha ndefu[emoji40] [emoji125]
Kwa mara ya kwanza tangu nikufahamu,umjitetea vyema 🙂🙂🙂🙂🙂Jaman tulipigiana cm tu hatukukaa, ndo nikamuuliza akanijibu atakuja kujibu mwenyewe[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]
Mkuu karibu, ukiwa angani kupokea salamu husababisha usafiri kuyumbaKumbe hampokei salam ninyi mlio online!
Kwa herini na usiku mwema kwenu!
Okay bro, good night man.am out
Hahaha unavyojitetea mkavu utasema unaongea kweli. Haya hebu niambie siku hizi hadi kukaguana mnafanya kwa kutumia simu?[emoji85]Jaman tulipigiana cm tu hatukukaa, ndo nikamuuliza akanijibu atakuja kujibu mwenyewe[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]
Wacha weee asanteeeKwa mara ya kwanza tangu nikufahamu,umjitetea vyema 🙂🙂🙂🙂🙂
Ngoja tumsubirieHakika sitasema lolote, mchana nimemuuliza ametekwa na nani akajibu atakuja kujibu mwenyewe huku.
Bado namsubiri ajibu
Hahaha ujue ukipata tatizo mimi ndo wa kwanza kuulizwa,[emoji6]Hahahahahaha kwani kesi inanihusu mkuu?
Na wewe unapigaje chabo ya mshiki lakn?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jaman tulipigiana cm tu hatukukaa, ndo nikamuuliza akanijibu atakuja kujibu mwenyewe[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]
Hahaha huyu dada yangu mjanja sana ila arobaini yake inakaribia[emoji39]Kwa mara ya kwanza tangu nikufahamu,umjitetea vyema 🙂🙂🙂🙂🙂
Jamani tulikuwa na kikao kidogo, Vipi lakini mzima wewe?Kumbe hampokei salam ninyi mlio online!
Kwa herini na usiku mwema kwenu!
Mkuu hiki ni Kikorea nini?MURAMUKE NEZA!
Ndagukumbuye!Mkuu hiki ni Kikorea nini?
AmakuruMURAMUKE NEZA!
Sijakata tamaa piaNgoja tumsubirie
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji40] [emoji87]Hahaha ujue ukipata tatizo mimi ndo wa kwanza kuulizwa,[emoji6]
Me nataka kujua huo ukaguzi na jirani yake nani hii mlifanyia wapi?