Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiku mwema acha nami niende.Usiku mwema wapendwa! Mlale unono
Lala dear wangu maana tuko wengi, mara Thad mara mm najua kuchoka muhimu
[emoji7] [emoji7] usiku mwemah.Lala dear wangu maana tuko wengi, mara Thad mara mm najua kuchoka muhimu
Mimi sijakimbia ila nimezidiwa na majukumu siku si nyingi tutakua wote ila bill ya viroba mii ntakua sipo ha ha haaaHuna lolote ulivyoona nimekubali tu, ukala kona mazima.......ukajua utaumbuka maana na Manga ML naye akakimbia pia kijiwe kama Kichwa Kichafu alivyokimbia kesi ya jirani yake! 😀😀😀😀 Rudini tu kijiweni, nilikuwa nawapima tu imani sikukubali kikwelikweli
Huyu hatokufaa kwakweli naamini hana fimbo isioumizaSiji nimeghairi............nitaenda kwa jje's anifundishe
Saiba natumai umeniwakilisha vemaHahahaha bibie karibu, jirani yako wamemteka wapi tena? Bundi Thad anamwulizia[emoji125]
Wee mtu jamani leo nimeshinda humu ujue uko poa vipi hali ya rafiki?Mlale basiii
Niko poa rafiki angu. Hofu kwako??mambo mengi naingia kwa kuibia Ibia tuWee mtu jamani leo nimeshinda humu ujue uko poa vipi hali ya rafiki?