JamiiForums Usiku wa manane

Duuuh huyu jiran ni huyu huyu ama mwingine. Mbona ana majirani wengi sana? Au ni jiran kiwilaya, wengine kimkoa, wengine kinchi na wengine kihouse?[emoji12] [emoji12] [emoji38]
Nauliza tu
Hahahaha jirani yangu kumbe ana majirani wengine japo mimi jiranj yake naona nyumba 1[emoji16][emoji16]
 
Poa poa mkuu.


Nleterewa Nganengo naona ndio unaingia msalimie Thad
Hahaha mkuu leo hizi balimi nilizokunywa sijui zimechanganywa na sifongo, siioni vizuri keyboard ndo maana unaona na- like napita[emoji40]
Thad kwakweli tokea umwonjeshe ile offer amekua akiondoka bila kuaga kila mara[emoji42] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…