JamiiForums Usiku wa manane

Ama kweli watu wanakosa usingizi, hivi wenye wake au waume mpo sahizi humu hawawalazimishi mpande kitandani au mna ugonvi sasa umeamua kukaa na simu au computer upoteze muda au amekukera au umemnyima akaondoka umebaki na mawazo usingizi hauji. kwa mabachela kumbukeni kesho ni siku ya kwenda kwenye mishemishe sio ukae kwenye daladala unasinzia uwe kituko, wa ma ofisini msinzie kama vile ulikuwa na kazi nyingi usiku
 
Mkuu umesahau wengine ndo kwanza tumeingia kazini,
Na wengine saivi kwao ndo saa 10 jioni. Dunia ina maajabu mengi[emoji40]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…