Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Tupo mkuuPopoooozz, mpo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo mkuuPopoooozz, mpo
Usinifukuzie my love wangu[emoji12] [emoji8]Hii utafundishwa baada ya kuwajengea wakwe nyumba mbili, kuwanunulia usafiri wenye hadhi, na angalau kuassist kila shemeji akapata ka vitz[emoji12] [emoji125]
Duuh hahaha shemeji unakua mkorofi namna hiyo hata mahari hujamaliza[emoji40]Acha nikamdekeze jje's we baki na viroba vyenu.
Tatizo ile mida bijitaka kukufundisha unakazania mambo ingine. Leoni lugha tuBaby mbona nami unifundishi hii lugha makinikia.
Hahaha enheeh endelea sasa[emoji39]Majina yake yote yanaanza na herufi N
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiwa na kesi unakuwa kama jiran yake Ney eeeeh
We ni popo suguPopo mkongwe kama kawaida yangu, nawapitia tu kuwajulia hali
Tuna vita kati yetu[emoji40]Hii utafundishwa baada ya kuwajengea wakwe nyumba mbili, kuwanunulia usafiri wenye hadhi, na angalau kuassist kila shemeji akapata ka vitz[emoji12] [emoji125]
Usimkize bhana[emoji87] [emoji85]Tuna vita kati yetu[emoji40]
Huyo mwalimu has only one pair ya sare na dent wake[emoji40]Majina yake yote yanaanza na herufi N
[emoji23] [emoji23]Ukiwa na kesi unakuwa kama jiran yake Ney eeeeh
Deep lov my lovUsinifukuzie my love wangu[emoji12] [emoji8]
Hahaha mshiki ujue haya yote ni kwa ajili yako, sisi ndio tuna uchungu na wewe ujue,[emoji40]Usinifukuzie my love wangu[emoji12] [emoji8]
Kamtafute mwanafunzi kwanzaDuuh hahaha shemeji unakua mkorofi namna hiyo hata mahari hujamaliza[emoji40]
Tutaanza kesho mbona suprise lovTatizo ile mida bijitaka kukufundisha unakazania mambo ingine. Leoni lugha tu
Sawa bbyto[emoji12]
Mkuu umesahau wengine ndo kwanza tumeingia kazini,Ama kweli watu wanakosa usingizi, hivi wenye wake au waume mpo sahizi humu hawawalazimishi mpande kitandani au mna ugonvi sasa umeamua kukaa na simu au computer upoteze muda au amekukera au umemnyima akaondoka umebaki na mawazo usingizi hauji. kwa mabachela kumbukeni kesho ni siku ya kwenda kwenye mishemishe sio ukae kwenye daladala unasinzia uwe kituko, wa ma ofisini msinzie kama vile ulikuwa na kazi nyingi usiku
Nakusiliza weye tu.Usimkize bhana[emoji87] [emoji85]
Duuuh kwani mnabadilishana nn msacha oko mkunde jaman[emoji87]Hahaha mshiki ujue haya yote ni kwa ajili yako, sisi ndio tuna uchungu na wewe ujue,[emoji40]
Na akikimbia kwa ajili hiyo, huyo ni wakuacha aende tu, hakupendi ( ni chungu lakini meza ni dawa nzuri)[emoji85] [emoji125]