Ndio naingia hivooo
Naona unanyata mpenzi[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji120] [emoji120]Aika mkunde, Ruwa akuringe na akueninge finya
Afadhali umejitokeza, Leo uchague mwalimu wako kabisa ajulikane[emoji40]Jamani nifundisheni basi hiyo lugha, naipenda ila wewe na Nleterewa Nganengo mnanipiga dana dana hamtaki kunifundisha halafu mnajifanya kuulizana mwalimu wangu ni nani [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Wananituhumu kuwa nina mwalimu ananifundisha 24/7/30/12 tukiwa wawili tu. Wakati wanaujua ukweli wa jambo hiliooh.!! kakushtakia nin tena bibiye nipokwa ajili yako
Ohooo karibuNdio naingia hivooo
Unabadilisha tuhuma ya jana eeeh!Afadhali umejitokeza, Leo uchague mwalimu wako kabisa ajulikane[emoji40]
Mazingira spesho, bakora spesho, uniform spesho na bila kusahau ni kwa sababu spesho[emoji12] [emoji39] [emoji125][emoji2] [emoji2] [emoji2] Ukiona hivyo ujue ni darasa spesho kwa mwanafunzi spesho anayefundishwa somo spesho
aisee, sasa unafundishwa nini maana bado nipo njia panda hapoWananituhumu kuwa nina mwalimu ananifundisha 24/7/30/12 tukiwa wawili tu. Wakati wanaujua ukweli wa jambo hili
Pole mamy,hata mimi yalinishindaJana nilikuwa tyt balaah natamani kuchungulia nashindwa ikabidi niwe mpole tuu
Poa mzima wewe?[emoji6] [emoji1] asante miss ney mambo zako
[emoji23] [emoji23]Ujue mmekuza jambo dogo sana.....nahisi mmoja wenu ni wa lile kabila wanalouza ng'ombe kwa kesi ya kuku [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Waite washtaki wangu nitoe utetezi hapa
Asanteh mpzPole mamy,hata mimi yalinishinda
Tutajie leo tumjue au umkane leo tujue[emoji85]Wananituhumu kuwa nina mwalimu ananifundisha 24/7/30/12 tukiwa wawili tu. Wakati wanaujua ukweli wa jambo hili
Karibu mkuu, siku izi adimu sana hapa kilingenihodi..!! humu ndani
me bukheri wa afya, awww..!! [emoji8] asante mamy siku yangu imeanza vizuriPoa mzima wewe?
Najihis kukuhamu [emoji4][emoji4]
Kumbe unajua vyema hii issue....sasa ilikuwaje jana ukaniruka? Kweli wewe ni wa kunifanya hivyo?Mazingira spesho, bakora spesho, uniform spesho na bila kusahau ni kwa sababu spesho[emoji12] [emoji39] [emoji125]
Nakusalimia mpenziUsijali hii JF imefanya watu tukawa addicted
Ila inasaidia sana [emoji12]
asante, kamanda siku2 3 hizi nilikua busy si mchezo aje aje huko lakinKaribu mkuu, siku izi adimu sana hapa kilingeni