Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Huku bukheri kabisa, tunazidi kuzipunguza siku za kuvuta pumzi tu, huku tukifurahiasante, kamanda siku2 3 hizi nilikua busy si mchezo aje aje huko lakin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku bukheri kabisa, tunazidi kuzipunguza siku za kuvuta pumzi tu, huku tukifurahiasante, kamanda siku2 3 hizi nilikua busy si mchezo aje aje huko lakin
ni kweli, hapa ndipo nimeamin ukubwa jalala nambie za huko kwenuUsiogope urafiki una gharama na ndo hizo unazipata sasa[emoji38] [emoji12]
Hahaha Mshiki naona ndo umeamua kushika bango kabisa, kweli kikulacho... [emoji40] [emoji12] [emoji125]Naona mwalimu na mwanafunzi mnaivana vilivyo.
Hilo darasa lazima mwanafunzi apate 99
Maana sio kwa kuelewana huko[emoji12]
na siku zinayoyoma kama kweli kweli, hicho ndicho kilichobaki stress usizipe nafas kipind hikiHuku bukheri kabisa, tunazidi kuzipunguza siku za kuvuta pumzi tu, huku tukifurahi
Kumbe ashatajwa mtu mashiki hebu ning'ate sikio tafadhali[emoji39]Uzuri mmeshatajana na kuelewana. Hilo darasa liko vzr
Ni kwamba hatujui tu mnafundishwa nn na hizo spesho bakora[emoji85]
salama kamanda za kwakowakuu habari za muda huu?
Duuuh ndo kusemaaaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] Mtasindana lakini hamtashinda!
Wiki kadhaa zilizopita niliwaomba Nleterewa Nganengo na jje's wanifundishe lugha wanayoitumia kuitana mshiki....bila ajizi Nleterewa Nganengo akajitokeza kuwa yeye yuko tayari kunifundisha na ameshaanda na zana za kufundishia, Manga ML akatoa ushauri wa mbinu za kunifundishia,baada ya hapo hakuna kilichoendelea mpaka jana nilipozushiwa ya kuzushwa eti nimtaje mwalimu wangu....[emoji57] [emoji57] [emoji57]aisee, sasa unafundishwa nini maana bado nipo njia panda hapo
Swadakta umenena vyema mkuuna siku zinayoyoma kama kweli kweli, hivho ndicho kilichobaki stress usizipe nafas kipind hiki
nzuri mkuu, naomba niwe mlinzi kwa leosalama kamanda za kwako
Huku shwari kabisa joto tu[emoji12]ni kweli, hapa ndipo nimeamin ukubwa jalala nambie za huko kwenu
Hivi inamaliziwaje.?Hahaha Mshiki naona ndo umeamua kushika bango kabisa, kweli kikulacho... [emoji40] [emoji12] [emoji125]
Salama mkuu, karibu kilingeniwakuu habari za muda huu?
Tulia atajiweka hadharan mwenyeweKumbe ashatajwa mtu mashiki hebu ning'ate sikio tafadhali[emoji39]
Uchokozi gani? Wewe huoni jje's naye amekumisimo [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante kipenzi jana nilikumisimo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muone ulivyokuwa mchokozi
duuh sasa hilo sonyo sijui langu [emoji134]Wiki kadhaa zilizopita niliwaomba Nleterewa Nganengo na jje's wanifundishe lugha wanayoitumia kuitana mshiki....bila ajizi Nleterewa Nganengo akajitokeza kuwa yeye yuko tayari kunifundisha na ameshaanda na zana za kufundishia, Manga ML akatoa ushauri wa mbinu za kunifundishia,baada ya hapo hakuna kilichoendelea mpaka jana nilipozushiwa ya kuzushwa eti nimtaje mwalimu wangu....[emoji57] [emoji57] [emoji57]
asante mkuuSalama mkuu, karibu kilingeni
Hahaha usishtuke sana, huyu anasali kwa yule Mzee wa Upako, kwaiyo hayo maneno yamemkaa sana kichwani[emoji6]Duuuh ndo kusemaaaaa