JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wiki kadhaa zilizopita niliwaomba Nleterewa Nganengo na jje's wanifundishe lugha wanayoitumia kuitana mshiki....bila ajizi Nleterewa Nganengo akajitokeza kuwa yeye yuko tayari kunifundisha na ameshaanda na zana za kufundishia, Manga ML akatoa ushauri wa mbinu za kunifundishia,baada ya hapo hakuna kilichoendelea mpaka jana nilipozushiwa ya kuzushwa eti nimtaje mwalimu wangu....[emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji15] [emoji15]
Mimi si ulinikataa lakini ukasema unamtaka jje's, kisa mimi nilisema ntakua natumia na bakora[emoji40]
 
Back
Top Bottom