Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha palipo na Bundi hapakosi paka, na Hawa viumbe hutegemeana kwa asilimia kubwa[emoji40]Jamani kwaherini naona wale paka walioimbwa na Mwinshehe wamehamia mtaani kwangu...
Ama kweli uswahilini tabu tupu....bundi wakilala paka wanaamka.
Itabidi nihamie mtaa wa kumi,sina namna nyingine
Mbaya zaidi ukiwa unajitambua unajikuta unapata usingizi mzito dawa yake lazimisha kuamka utabaki salamaKuna kitu kinaitwa jinamizi, unakua nusu macho nusu umelala hauwezi hata kunyanyua kidole, sasa likiibuka hiyo mida si itakua tafrani? Ntaanzia wapi kuutangazia umma?
Hahahaha palipo na Bundi hapakosi paka, na Hawa viumbe hutegemeana kwa asilimia kubwa[emoji40]
Vumilia tu hao ndo jirani zako wa kwenye viroba na balimi[emoji125]
Hahaha jinamizi wao kazi yao sio hiyo, na hawawezi fahali wawili kukaa pamoja lazima mmoja amwache mwenzake afanye kazi akimaliza na yeye akipata chance aanze[emoji40]Kuna kitu kinaitwa jinamizi, unakua nusu macho nusu umelala hauwezi hata kunyanyua kidole, sasa likiibuka hiyo mida si itakua tafrani? Ntaanzia wapi kuutangazia umma?
Hahaha bombadia kiboko, ila kumbuka ya kale dhahabu[emoji40]Nasikia siku hizi kuna kitu kinaenda kwa jina la bombadia, balimi zilipendwa
Hahaha jinamizi wao kazi yao sio hiyo, na hawawezi fahali wawili kukaa pamoja lazima mmoja amwache mwenzake afanye kazi akimaliza na yeye akipata chance aanze[emoji40]
Akisinzia tu hata tone, amekwishaMbaya zaidi ukiwa unajitambua unajikuta unapata usingizi mzito dawa yake lazimisha kuamka utabaki salama
Hahaha bombadia kiboko, ila kumbuka ya kale dhahabu[emoji40]
Jamani kwaherini naona wale paka walioimbwa na Mwinshehe wamehamia mtaani kwangu...
Ama kweli uswahilini tabu tupu....bundi wakilala paka wanaamka.
Itabidi nihamie mtaa wa kumi,sina namna nyingine