JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Bwana weee! Jana si umetuaga vizuri kwamba unajisikia usingizi? Waungwana wakaanza kulonga ooooh, sijui mahari..sijui nini? Ila mie nilisikia tu lakini. Ukiona wanakuuliza kuhusu jana, ujue tu wanakuvutia kasi.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Huu uchochezi kindakindaki kabisa, ewe msamaria.[emoji40] [emoji125]
 
Bwana weee! Jana si umetuaga vizuri kwamba unajisikia usingizi? Waungwana wakaanza kulonga ooooh, sijui mahari..sijui nini? Ila mie nilisikia tu lakini. Ukiona wanakuuliza kuhusu jana, ujue tu wanakuvutia kasi.
Usichochee hizi kuni ni mbichi halafu Manga ML na Nleterewa Nganengo wamezimwagia maji mapipa maine
 
Back
Top Bottom