Jaby'z tafadhali rudisha funguo yetu,nisijepewa kesi bure maana watu wa humu kwa kupenda kesi hawajambo [emoji12] [emoji12]
Nikijua tu, niuzie basi wa 100 zile mil 50 kwa kila kijiji zikija nakulipa fedha yako[emoji40]Naona hamjambo jambo. Mie leo sijiwezi nina usingizi debe kibao nikiuuza natajiri
Kwanini dear,sema nasi mioyo yetu ipate kusukuma damu![emoji1] [emoji1]Acha tu leo niwaangalie
Kusema kweli nilizipenda sana nyimbo zake....sijui kwanini ameamua kujipoteza [emoji18] [emoji18]Juma Nature Liroboto...anakwambia mtoto Idd sijui ugomvi wake mayai viza
Hahaha kwa manufaa ya umma ilipendekezwa maombi ya mafunzo yawe ya siri baina ya waalimu na wanafunzi[emoji40] [emoji125]Mwenzio bado anatafuta mwalimu ujue.
Mm nipo mkuu
Please msinipe kesi....nafuatilia hiyo funguo yenu![emoji4] [emoji4]DPP hajafika bado?
Please msinipe kesi....nafuatilia hiyo funguo yenu![emoji4] [emoji4]
Hahaha kwa manufaa ya umma ilipendekezwa maombi ya mafunzo yawe ya siri baina ya waalimu na wanafunzi[emoji40] [emoji125]
[emoji15] [emoji15]Acha tu leo niwaangalie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi uhakiki wa vijiji ushaanza ili tupate tumaini la kupewa hizo mil.50?Nikijua tu, niuzie basi wa 100 zile mil 50 kwa kila kijiji zikija nakulipa fedha yako[emoji40]
Tena usinikumbushe ulivyonitapeli...meti umeniunga kifurushi cha usingizi cha mwezi kumbe ni cha masaa 3 tu [emoji22] [emoji22]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpaka Jaby'z atakapoleta funguo! [emoji12] [emoji12] [emoji12] umenikumbusha Masanja na wimbo wake wa Nuhu tufungulie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli dudubaya noma! Limenikosesha usingizi wa mwezi mzimaHahahaaa sasa wakati naandika muda si ndio ukaleta mambo ya dudubaya? Nikaponyeza dakika 3 badala ya siku 30. Usicheze na popobawa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Bwana weee! Jana si umetuaga vizuri kwamba unajisikia usingizi? Waungwana wakaanza kulonga ooooh, sijui mahari..sijui nini? Ila mie nilisikia tu lakini. Ukiona wanakuuliza kuhusu jana, ujue tu wanakuvutia kasi.
Usichochee hizi kuni ni mbichi halafu Manga ML na Nleterewa Nganengo wamezimwagia maji mapipa maineBwana weee! Jana si umetuaga vizuri kwamba unajisikia usingizi? Waungwana wakaanza kulonga ooooh, sijui mahari..sijui nini? Ila mie nilisikia tu lakini. Ukiona wanakuuliza kuhusu jana, ujue tu wanakuvutia kasi.
Ewaah nashukuru kwa kuelewa vyema[emoji122]Ikimaanisha hata mafunzo yataendeshwa kwa muundo huohuo?
Nimecheka kwa nguvu mpaka jirani yangu mzee Kifimbocheza kaja kuniuliza kulikoni? [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi napenda pale Nuhu alivyoitwa akaitika "Jana na Leo"
Masanja mwehu sana[emoji3]
Ewaah nashukuru kwa kuelewa vyema[emoji122]