Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Shiiii usiongee kwa nguvu, uhakiki unaanza kesho maeneo ya Giningi, wahi saa 2 asubuhi[emoji40][emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi uhakiki wa vijiji ushaanza ili tupate tumaini la kupewa hizo mil.50?
Usichochee hizi kuni ni mbichi halafu Manga ML na Nleterewa Nganengo wamezimwagia maji mapipa maine
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe kuna watu walipotezaga ubavu eeeh! Hivi wewe ubavu wako uliupotezeaga wapi? Vipi ulishaupata? Kama bado naomba nije nikusaidie kuutafuta.[emoji12] [emoji12] (Nina roho nzuri mpaka Mungu ananishangaaga)[emoji15] [emoji15]
Karibu mshiki, hebu sema hata neno la salamu, ujue tokea ulipompelekea ubavu wake aliyeupoteza sijakuona na hatujawasiliana mpaka sasa. [emoji40]
Nimekumisimo kama mafuta ya rays mshiki wangu[emoji8]
Hahaha huyu Msamaria sio mtu mzuri. Makaburi mengine yanatisha sana yakifukuliwa,Usichochee hizi kuni ni mbichi halafu Manga ML na Nleterewa Nganengo wamezimwagia maji mapipa maine
Ushalala wewe naomba debe kadhaa namimi
Hili swali jibu analo Bundi Thad na mwenzake waliyepeanamo jana[emoji40]Funguo zimeshapatikana lakini?
Hili swali jibu analo Bundi Thad na mwenzake waliyepeanamo jana[emoji40]
Kama Mfilisti basi hatusumbui vichwa,kama baunsa wao mkuu aliuwawa kwa jiwe moja tu la manati.....hawo wengine si wakupeperushwa kwa upepo tu [emoji12] [emoji12]Hahaha huyu Msamaria sio mtu mzuri. Makaburi mengine yanatisha sana yakifukuliwa,
Nina wasiwasi huyu atakua Mfilisti[emoji40] [emoji125]
Akimjua unistue na mimiDPP hajafika bado?
Usiogope hawahakiki watu wanahakiki vijiji,hivi wale watendaji wa vijiji walijiajiri eeh!Shiiii usiongee kwa nguvu, uhakiki unaanza kesho maeneo ya Giningi, wahi saa 2 asubuhi[emoji40]
Wasiwasi wangu ni Je kuna bundi anayeona wakati kukiwa na mwanga?[emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Please msinipe kesi....nafuatilia hiyo funguo yenu![emoji4] [emoji4]
Hahaha kwakweli roho yako nzuri huwa naifananisha na ya Yusuph (Baba yake Yesu).[emoji40][emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe kuna watu walipotezaga ubavu eeeh! Hivi wewe ubavu wako uliupotezeaga wapi? Vipi ulishaupata? Kama bado naomba nije nikusaidie kuutafuta.[emoji12] [emoji12] (Nina roho nzuri mpaka Mungu ananishangaaga)
Tena kwa bakora isioumizaIkimaanisha hata mafunzo yataendeshwa kwa muundo huohuo?
Unamaanisha na wewe utapiga maombi moto uwake au?Ujue kwenye Biblia kuna wale manabii wa uongo walimwaga maji mapipa 12 kwenye sadaka ya kuteketeza, lakini Mtishibi alipopiga ombi, moto ulilamba kuanzia sadaka hadi maji.
Posho zimekatwa utapewa hizo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi uhakiki wa vijiji ushaanza ili tupate tumaini la kupewa hizo mil.50?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimemaanisha umri tu huko kwingine najua anakutosha mimi ni kaka yake ujue
Kama Mfilisti basi hatusumbui vichwa,kama baunsa wao mkuu aliuwawa kwa jiwe moja tu la manati.....hawo wengine si wakupeperushwa kwa upepo tu [emoji12] [emoji12]
Acha uwoga mkuu, jikaze kama ulivyojikaza kumweleza jje's habari za mahari[emoji40] [emoji3] [emoji125]Naogopa kumuuliza kinagaubaga, namuonea muhali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unanivunja mbavu mie.....kuna rafiki yangu huwa anasema usione wengine hawaoi mbavu zao zililiwa na fisi.Hahaha kwakweli roho yako nzuri huwa naifananisha na ya Yusuph (Baba yake Yesu).[emoji40]
Ndo Niko kwenye harakati za kuisaka (Mungu asaidie usikute imeshaliwa na Mbwa)[emoji40] [emoji125]