Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji23] [emoji23] [emoji119]Kama Mfilisti basi hatusumbui vichwa,kama baunsa wao mkuu aliuwawa kwa jiwe moja tu la manati.....hawo wengine si wakupeperushwa kwa upepo tu [emoji12] [emoji12]
Acha uwoga mkuu, jikaze kama ulivyojikaza kumweleza jje's habari za mahari[emoji40] [emoji3] [emoji125]
Hahaha tulifanya intavyuu mpaka Leo naona kimya, itakua wameamua wavute kamuda ili tuajiriwe kwa mishahara minono[emoji40]Usiogope hawahakiki watu wanahakiki vijiji,hivi wale watendaji wa vijiji walijiajiri eeh!
Alivyo na roho nziri kila amuonae anamkabidhi funguoHili swali jibu analo Bundi Thad na mwenzake waliyepeanamo jana[emoji40]
Mi nakwambia hutaweza kuchoche hizo kuni ni mbichi, wajifanya hunielewi ....mahari bado nusu haijalipwa [emoji4] [emoji4]Aah! Kutoka Msamaria hadi Mfilist? Mnaona matokeo yake mwenzenu leo kaondoka kimya kimya hata bila kuaga...au kweli mahari inahusika?
Swadakta kabisa Msisitizo upo hapo (bakora isiyo na maumivu)Tena kwa bakora isioumiza
Nipo maa
Jamani jamani....funguo yenu nishapewa maana naona mnajipanga kunifikisha kisutuAlivyo na roho nziri kila amuonae anamkabidhi funguo
Watu wamelala...sisi ni mabundi [emoji12] [emoji12]Aisee nyie watu
Hahaha ndo maana nafunga na kusali hata kama imeliwa iwe angalau nusu na nusu iliyobaki niipate, hiyo ni afadhali kuliko Nzima Isiyo Ubavuwo[emoji40][emoji23] [emoji23] [emoji23] Unanivunja mbavu mie.....kuna rafiki yangu huwa anasema usione wengine hawaoi mbavu zao zililiwa na fisi.
Acha tu leo niwaangalie
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh shemeji yangu wewe kiboko [emoji119]
Hahaha tena kwa ahadi nzuri kabisa ya kifurushi cha usingizi[emoji125]Alivyo na roho nziri kila amuonae anamkabidhi funguo
Ndio Mtakatifu, wapi Inna mkuu?Aisee nyie watu
Hahahahaha mnanisema wewe na my kakaKwanini dear,sema nasi mioyo yetu ipate kusukuma damu![emoji1] [emoji1]
[emoji360] funguo yenu hiyo hapo! Naomba msinigasigasi tena![emoji57] [emoji57]Hili swali jibu analo Bundi Thad na mwenzake waliyepeanamo jana[emoji40]
Nawaangalia tu, watu wabaya kweli jmnBwana weee! Jana si umetuaga vizuri kwamba unajisikia usingizi? Waungwana wakaanza kulonga ooooh, sijui mahari..sijui nini? Ila mie nilisikia tu lakini. Ukiona wanakuuliza kuhusu jana, ujue tu wanakuvutia kasi.
Wee mtu upogo?Aisee nyie watu
Hahahahha hv rays hamnaga tena eeh[emoji15] [emoji15]
Karibu mshiki, hebu sema hata neno la salamu, ujue tokea ulipompelekea ubavu wake aliyeupoteza sijakuona na hatujawasiliana mpaka sasa. [emoji40]
Nimekumisimo kama mafuta ya rays mshiki wangu[emoji8]