Sawa utanisalimia huko muda ushatuachaWacha niwe mpole mpaka aniambie yeye mwenyewe
Mkuu nimekula sana wa baruti, kwanza unampata samaki aliyenona kwa bei chee kabisa, pili hasumbui kumla sababu unakuta miba yake ishalegezwa na baruti, tatu hakinaishi sababu hufa na utamu wake (kifo cha ghafla).Wewe hujawahi kula mwenye sumu ya baruti ukajua msala wake
Huyu saivi atakua ashabadilika na kuwa Bright angel
Ohoo zima cm hafu fumba macho imba ka wimbo bila kufunua mdomo utashangaa asubuhi ishafikaNaona Usingizi hauji kabisa
Yupo wapi mkuu hem nionyesheNaona maserati karudi [emoji3][emoji3]
Ewaah hiyo swafi kabisa, usisahau kuleta mrejeshoHa ha haaa naomba asiwe na msimamo mkali mana akikubali ya kwanza tu haita isha mana ntazipanga foleni kabsaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Mkuu nimekula sana wa baruti, kwanza unampata samaki aliyenona kwa bei chee kabisa, pili hasumbui kumla sababu unakuta miba yake ishalegezwa na baruti, tatu hakinaishi sababu hufa na utamu wake (kifo cha ghafla).
Usisikilize ya watu mkuu, baruti haina sumu wala nini, na ukiona wasiwasi we tia ndimu, umemaliza[emoji40] [emoji125]
Hahaha tena ule wimbo wa mabata madogo madogo unaleta usingizi safi sanaOhoo zima cm hafu fumba macho imba ka wimbo bila kufunua mdomo utashangaa asubuhi ishafika
Aisee acha tu atakua yupo chini ya mamlaka si bureHuyu saivi atakua ashabadilika na kuwa Bright angel
Umeona eeh?Hahaha tena ule wimbo wa mabata madogo madogo unaleta usingizi safi sana
Itakua kaenda sirini kumpa mbinu za kukwepa mateke[emoji125]Yupo wapi mkuu hem nionyeshe
Wala hutakumbusha mkuuEwaah hiyo swafi kabisa, usisahau kuleta mrejesho
[emoji120] [emoji120]Wala hutakumbusha mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Itakua kaenda sirini kumpa mbinu za kukwepa mateke[emoji125]
Nikuache mkuu natangulia[emoji120] [emoji120]