JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wewe hujawahi kula mwenye sumu ya baruti ukajua msala wake
Mkuu nimekula sana wa baruti, kwanza unampata samaki aliyenona kwa bei chee kabisa, pili hasumbui kumla sababu unakuta miba yake ishalegezwa na baruti, tatu hakinaishi sababu hufa na utamu wake (kifo cha ghafla).
Usisikilize ya watu mkuu, baruti haina sumu wala nini, na ukiona wasiwasi we tia ndimu, umemaliza[emoji40] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom