Itakua mkuukwahiyo sababu yako haipo kwenye swali langu
Huku unafika eeehBora nisimuite...
Nawaza nikakutana nae huko anafanya mambo yake nikamuita hivyo..
Nitakuwa nimeuwa samaki kwa baruti
[emoji3][emoji3]Huku unafika eeeh
Hey wapendwa wote,
Hahaha huo mziki ukifunguliwa ni bomoa bomoa tosha[emoji40]
HahahaaaHahaha huo mziki ukifunguliwa ni bomoa bomoa tosha[emoji40]
Ila mkuu ufunguo umeiba kwa nani mapema ivi
[emoji24] [emoji24] [emoji24]Hey wapendwa wote,
Nawasalimu wote kwa jina la Yesu. Niombe udhuru wa week hii nikirudi ulingoni nitajieleza y nimeshindwa kuwa nanyi wkt huu. Nimeona sio vzr kutokomea bila kuaga. Naona kuna wageni wengi nawasalimu pia na karibuni
Nitawamis sana jaman nianze na my brother Nganengo, na kina KK, Thad, Ney, ML, Maserati, dingi mtoto, mangi mtata, trascend na mkuu wa uzi No Escape
Bila kuwasahau mapopo na bundi's woteee
Hahaha sawa mkuuHahahaaa
Mimi sipo huko
Oooh we will miss you maa [emoji4][emoji4],ila asanteh kwa taarifa mpenzi uende na urudi salama jamaniHey wapendwa wote,
Nawasalimu wote kwa jina la Yesu. Niombe udhuru wa week hii nikirudi ulingoni nitajieleza y nimeshindwa kuwa nanyi wkt huu. Nimeona sio vzr kutokomea bila kuaga. Naona kuna wageni wengi nawasalimu pia na karibuni
Nitawamis sana jaman nianze na my brother Nganengo, na kina KK, Thad, Ney, ML, Maserati, dingi mtoto, mangi mtata, trascend na mkuu wa uzi No Escape
Bila kuwasahau mapopo na bundi's woteee
Kila heri huko uliko!Hey wapendwa wote,

Salama,jana nili sign tu nikachomokaNipo poa lovely, habari za usiku
Sie tupo utatukuta mpendwa.Hey wapendwa wote,