Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Duuuh. Pole sana mkuu. Nawe ni muathirika wa hilo jambo??Jamani tukaribishane kulala wengine hatuna kwa kulaza mbavu zetu baada ya makazi yetu kupitiwa na tingatinga za tanraod na dawasco
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh. Pole sana mkuu. Nawe ni muathirika wa hilo jambo??Jamani tukaribishane kulala wengine hatuna kwa kulaza mbavu zetu baada ya makazi yetu kupitiwa na tingatinga za tanraod na dawasco
Ndugu yanguuuuu,hiki ki mvua hatari sanaNaam habali godoroni hapo
Na kimvua hikii
Salama mpendwa sijui weweNipo mydear, Vipi wewe unaendeleaje
Kina uchokozi acha tuNdugu yanguuuuu,hiki ki mvua hatari sana
Karibu tuegeshe mbavu hapa kwenye box,upenuni mwa maduka ya wahindi hapa k'kooJamani tukaribishane kulala wengine hatuna kwa kulaza mbavu zetu baada ya makazi yetu kupitiwa na tingatinga za tanraod na dawasco
Tafadhali mangi...usije ukamalizia hasira zako kwetu,ukatufungia geti mapema yote hii [emoji12] [emoji12] [emoji12]Haka kamvua kamesababisha ka kioski changu kamedorora sana leo
Wacha nisogeze muda kidogo ThadTafadhali mangi...usije ukamalizia hasira zako kwetu,ukatufungia geti mapema yote hii [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Eeeh bwana, mvua isikukatishe tamaa ni changamoto tu ya kawaida katika biashara....hivi bombadia unauza sh.ngapi vileWacha nisogeze muda kidogo Thad
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Hapo ndo utaijua hasara ya kuwa single!Ndugu yanguuuuu,hiki ki mvua hatari sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweliii kabisa[emoji2] [emoji2] [emoji2] Hapo ndo utaijua hasara ya kuwa single!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pambana na hali yako kwa kukumbatia mto,hauna namna best![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweliii kabisa
Bado upo wangu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweliii kabisa
Nilikuwa naangalia series fulani. Nalala now thoBado upo wangu?
Umejuaje. Nimekumbatia mto na shuka langu na sign out now.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pambana na hali yako kwa kukumbatia mto,hauna namna best!
Yani upate hasara na marafiki unao?[emoji2] [emoji2] [emoji2] Hapo ndo utaijua hasara ya kuwa single!