Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Kwa kilimo mkuu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Inakushawishi kufanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kilimo mkuu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Inakushawishi kufanyaje?
Kweli kabisa linaharibu miundo mbinu na kuongeza idadi ya watu........watoto wengi watakaozaliwa mwakani mwezi wa saba,watakuwa ni kwa hisani ya mvua hizi [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Lima kiongozi nakutakia mavuno mengi mwakani mwezi wa sabaKwa kilimo mkuu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Nilidhani hali ya hewa ya leo wengi wenu mtakuwa kwenye mikumbato style [emoji4][emoji4][emoji2] [emoji2] [emoji2] Vipo vya kushare lakini sio mapenzi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tangu hizi mvua za vuli zianze kuna watu hawakeshi tena na sisi hapa.......
Kichwa Kichafu
Nleterewa Nganengo
Neybright
Dingi mtoto
No Escape
Naona mvua hizi zimewaendea vyema wenzetu! [emoji4][emoji4]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Nisamehe bure best. Nilikuhamu nikaona nikuite kijanja ![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mie nitoe kwenye list rafiki yangu
Yaan na kuwafungulia geti bado sina jema jamani
Me too maa[emoji2] [emoji2] [emoji2] Nisamehe bure best. Nilikuhamu nikaona nikuite kijanja !
Ushauli huu ni wako lakini wansemea kwa lipi tena?Nitamwambia Maserati akusemee kwa mama chanja
Bwana wee hii hali ya hewa ukiwa na kikumbatio ni safi sana. Ndio maana wenye mikumbatio yao wametuacha solemba siku mbili tatu hiziNilidhani hali ya hewa ya leo wengi wenu mtakuwa kwenye mikumbato style [emoji4][emoji4]
Khaaa nawee upo aisee kumbe kawaida tu.Nilidhani hali ya hewa ya leo wengi wenu mtakuwa kwenye mikumbato style [emoji4][emoji4]
Ahahahaaaaaa uwiiiBwana wee hii hali ya hewa ukiwa na kikumbatio ni safi sana. Ndio maana wenye mikumbatio yao wametuacha solemba siku mbili tatu hizi
Mwenzangu wee hakuna cha baba nani wala nini ninajiliwaza na mto wangu hapaMe too maa
Naona upo na baba nani sijui
Et ulifungua tu nakurudi kwenye kumbato lako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mie nitoe kwenye list rafiki yangu
Yaan na kuwafungulia geti bado sina jema jamani
Kweli nimeamini hakuna mama chanja maana kwa baridi hii hata mkikoseana mnasameheana haraka kabla ya muda wa kulala [emoji85] [emoji85] [emoji85]Ushauli huu ni wako lakini wansemea kwa lipi tena?
Hivi awepo Mama chanja na kibaridi hiki hapa nakwepoje sasa?
Okey sawa hamna neno, Wacha niandae kilalio nitarudi baada ya dakika chacheMwenzangu wee hakuna cha baba nani wala nini ninajiliwaza na mto wangu hapa
Akimtaja tu basi akutajie na huyoo mama nani piaMe too maa
Naona upo na baba nani sijui
[emoji18] [emoji18] [emoji18] Ila wana tabia mbaya...kwanini hawakutuaga kama jje's alivyofanya?Ahahahaaaaaa uwiii
Happy for them
Hafu usizuge wewe hukwepo hizi siku mbili tatu ndo leo umeibuka sijui kumbato umelikumbatia kwa fujoBwana wee hii hali ya hewa ukiwa na kikumbatio ni safi sana. Ndio maana wenye mikumbatio yao wametuacha solemba siku mbili tatu hizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwenzangu wee hakuna cha baba nani wala nini ninajiliwaza na mto wangu hapa