Kuna tatizo gani [emoji57]Mh mh mh.
[emoji40] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji40] [emoji40] [emoji40]Hatujakuona huku sidanganyiki
HakunaKuna tatizo gani [emoji57]
Kutesa kwa zamuKhaaa nawee upo aisee kumbe kawaida tu.
Wenye kumbato waendelee tu keaho tunaamka sawa.
Ohooo nilisahau huu msemo umenipa farajaKutesa kwa zamu
Ahahahaaaaaa alafu wote watata hakuna mwenye nafuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kama nawaona siku watakayorudi hapa watakavyorukaruka kama bisi
Mie mwenyewe mgeni njia hiyoNi mimi nalisikia sikia ila bado sijamjua Mama chanja hem nisaidie kujua
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Acha kabisa, Mungu alitengeneza maajabu sana [emoji4]
MuangalieHakuna
Basi tsubili pamoja labda ule usemi uta aplay hapaMie mwenyewe mgeni njia hiyo
Jibu la swali lako analo Maserati..[emoji4] [emoji4] [emoji4]Na mimi nalisikia sikia ila bado sijamjua Mama chanja hem nisaidie kujua
Simuangalii mana hali hii inatabia mbayaMuangalie
Acha, wakija tutawauliza tu ili tuwachore maana majibu tunayo tayari [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ahahahaaaaaa alafu wote watata hakuna mwenye nafuu
Vizuri waeza endelea sasa kuandaa kilalioKabisa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] mbona kama mwapeana sign kijanja za kunitoroka?Vizuri waeza endelea sasa kuandaa kilalio