JamiiForums Usiku wa manane

Jana nasikia haujalala kuhofia maji kuingia ndani
Bwana wee ...nilikesha bure,mwisho wa siku yaliingia ndani godoro hapa lipo nyang'a nyang'a naomba tukeshe wote siku hizi mbili hadi kijigodoro changu kitakapo kauka [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Nisamehe rafiki yangu ujue shemeji yangu kama vile aliniruhusu indirect way [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikaona nisimuangushe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya bwana....ntu na shemejie
 
Wewe kiboko umejua kunichekesha leo, nikaona isiwe tabu nitakubamba tuu kipande hiki
 
Bwana wee ...nilikesha bure,mwisho wa siku yaliingia ndani godoro hapa lipo nyang'a nyang'a naomba tukeshe wote siku hizi mbili hadi kijigodoro changu kitakapo kauka [emoji134] [emoji134] [emoji134]

Dah! Pole sana, hatukeshi wote ila tunakua macho huku tunawasiliana kwa simu. Kukesha wote itakua ntihani yakheeeee! Kwani bado unamuogopa bawa?
 
Dah! Pole sana, hatukeshi wote ila tunakua macho huku tunawasiliana kwa simu. Kukesha wote itakua ntihani yakheeeee! Kwani bado unamuogopa bawa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Basi sawa ngoja vidole vyetu vizungumze huku macho yakishuhudia;pole kwa midomo na masikio maana havina nafasi hapa.

Mond keshasema bawa ni zilipendwa kwahiyo siogopi tena,Nleterewa Nganengo alinitisha bure[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
But nilichogundua watu wengi hawaamini yaliyowakuta wenzao, nimeongea ukweli mtupu lakini bado watu hawaamini, Ok
Mie nilikuwa nacheka unavyopangua maswali ya wadau polite and clear ahahahaaaaaa, hata hivyo mie huwa niponipo tuu chochote nikisikiacho huwa nachukulia kama story tuu nikiweza nacheka nikiweza nasikitika huwa sitakagi kujua kama ni uongo au ukweli [emoji4]
 
Ok, lakini hujanijibu swali langu, au nije PM
 
Naamini leo hakuna hofu ya mvua tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…