JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani ni shida! Nimekaa nikafikiria hivi wahenga walivyosema kelele za chura hazimkatazi tembo kunywa maji walitafakari sawasawa kweli? Mbona mimi zinaninyima usingizi [emoji18] [emoji18]
Usingizi sio maji, ni vitu viwili tofauti
 
Mefundishwa na mwalimu wako [emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwalimu wangu nimemhamu kweli
Umemficha wapi? Maana mara ya mwisho alinambia anakuja kwako umfunze kiinglish....
Kumbe kafika na kukufunza uchochezi tena? [emoji4] [emoji4]
 
Wanasema usingizi ni noma na kweli mi nimeamini, maana kuna siku nililala kwenye maji, muda wa usiku nyumbaji nilosaau kufunga bomba, then nikalala sebuleni kwangu kwenye zulia, ile naamka asubuhi maji yamejaa ndani mote
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwalimu wangu nimemhamu kweli
Umemficha wapi? Maana mara ya mwisho alinambia anakuja kwako umfunze kiinglish....
Kumbe kafika na kukufunza uchochezi tena? [emoji4] [emoji4]
Mwalimu wako anahali mbaya sana aiseeh, embu mtafute umpe pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…