The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Aisee kwa kelele za hawa vyura,hata tembo hawezi kunywa maji nakuambia, maana zimezidi
Kwa sababu uko macho, wengine wamelala totoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kwa kelele za hawa vyura,hata tembo hawezi kunywa maji nakuambia, maana zimezidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nendeni tuuAu nasie twende PM? Hahahahaaa
Karibu sana! Unamaliza lindo saa ngapi?Niko lindoni
Tunakupenda....tafadhali usithubutu kwenda huko,hutarudi hapa....utapotelea huko oooh![emoji2] [emoji2]Basi mie naenda mwenyewe huko PM..nataka tu japo nikapaone panafananaje?
Umeajifunza lini uchochezi? [emoji12] [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nendeni tuu
Mtaa mzima hatujalala nakuambia.....majirani zangu nawasikia wanavyolalamikia hizi kelele za vyuraKwa sababu uko macho, wengine wamelala totoro
Mefundishwa na mwalimu wako [emoji125][emoji125][emoji125]Umeajifunza lini uchochezi? [emoji12] [emoji12]
Daah poleni sana aiseehMtaa mzima hatujalala nakuambia.....majirani zangu nawasikia wanavyolalamikia hizi kelele za vyura
Usingizi sio maji, ni vitu viwili tofauti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani ni shida! Nimekaa nikafikiria hivi wahenga walivyosema kelele za chura hazimkatazi tembo kunywa maji walitafakari sawasawa kweli? Mbona mimi zinaninyima usingizi [emoji18] [emoji18]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwalimu wangu nimemhamu kweliMefundishwa na mwalimu wako [emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Ooooh!Usingizi sio maji, ni vitu viwili tofauti
Mwalimu wako anahali mbaya sana aiseeh, embu mtafute umpe pole[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwalimu wangu nimemhamu kweli
Umemficha wapi? Maana mara ya mwisho alinambia anakuja kwako umfunze kiinglish....
Kumbe kafika na kukufunza uchochezi tena? [emoji4] [emoji4]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] Amekuwaje tena jamani?Mwalimu wako anahali mbaya sana aiseeh, embu mtafute umpe pole
Lala unono mpenzi [emoji7] [emoji7]Guys love you all, naomba niwakimbie [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kesheni salama
Una wapenzi wangapi?Lala unono mpenzi [emoji7] [emoji7]