JamiiForums Usiku wa manane

Hatimae waonekana baada ya mvua kuisha eeeh![emoji23] [emoji23] [emoji23]

Manga ML na Neybright wanaswali wanataka kukuuliza.[emoji40] [emoji40]
Mie mbona nipo humu ndugu angu. Mara ya mwisho mvua ya juzi ile...
Swali gani la baba chanja??? Maana nawafatilia comment zenu mjue mi shilawadu nawazoom tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mie mbona nipo humu ndugu angu. Mara ya mwisho mvua ya juzi ile...
Swali gani la baba chanja??? Maana nawafatilia comment zenu mjue mi shilawadu nawazoom tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi kumbe swali unalijua,lijibu ili wakija wasihangaike kukuuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…