JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ulijuaje best?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Nipo hapa na testi kazi ya mikono ya mkulima wa msumbiji vijijini,kitu kimechumwa kikiwa kishakomaa,kika kaushwa uzuri,kuchambuliwa na kuchepwa kwa ustadi .nabembea tu tartiibu kwenye rythm mida hii,huku nikisindikizia msisimko na ledibluu ya baridi.
 
Mkuu una roho mbaya, hatukaribishani kweli? Kumbuka unatakiwa kizuri ule na nduguyo
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Anagalia isikubangue vibaya ukajikuta uwanja wa taifa kushangilia simba na yanga usiku huu
Usijali Bibie kichwa changu sio cha mchezo mchezo,kimeshapiga testa vitu vya india,china,moroco,malaysia,california na kwengineko. kiko imara.
 
Back
Top Bottom