[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] langu sikio!Mpaka aulize baba chanja mwenyewe
Huku hakuna mziki ni full vyupa plus screen kubwa mbele yako kuangalia wenzetu duniani wanafanya yaoNani anacheza usiku huu?
Karibu,!! Unataka wa kucheza nae?Nani anacheza usiku huu?
Hapana,wala hata sijamaanisha hivoKaribu,!! Unataka wa kucheza nae?
Nilimaanisha mpiraHuku hakuna mziki ni full vyupa plus screen kubwa mbele yako kuangalia wenzetu duniani wanafanya yao
Mbona umekataa haraka hivyo unaogopa [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hapana,wala hata sijamaanisha hivo
Hapana,i was just telling you kwamba umekosea hicho ulikokiwaza wewe.Mbona umekataa haraka hivyo unaogopa [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ulijuaje best?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Ndumu ukiivuta usiku wa manane ina stimu ya kipekee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Vp umeivuta?Ndumu ukiivuta usiku wa manane ina stimu ya kipekee.
Nipo hapa na testi kazi ya mikono ya mkulima wa msumbiji vijijini,kitu kimechumwa kikiwa kishakomaa,kika kaushwa uzuri,kuchambuliwa na kuchepwa kwa ustadi .nabembea tu tartiibu kwenye rythm mida hii,huku nikisindikizia msisimko na ledibluu ya baridi.Ulijuaje best?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Niko kwenye mchakato huo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Vp umeivuta?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Anagalia isikubangue vibaya ukajikuta uwanja wa taifa kushangilia simba na yanga usiku huuNiko kwenye mchakato huo.
Mkuu una roho mbaya, hatukaribishani kweli? Kumbuka unatakiwa kizuri ule na nduguyoNipo hapa na testi kazi ya mikono ya mkulima wa msumbiji vijijini,kitu kimechumwa kikiwa kishakomaa,kika kaushwa uzuri,kuchambuliwa na kuchepwa kwa ustadi .nabembea tu tartiibu kwenye rythm mida hii,huku nikisindikizia msisimko na ledibluu ya baridi.
HeheheeeeHatimae waonekana baada ya mvua kuisha eeeh![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Manga ML na Neybright wanaswali wanataka kukuuliza.[emoji40] [emoji40]
Nipo mpenziNey bright Thad Manga ML a.k.a baba chanja Kichwa Kichafu Saint Ivuga Nleterewa Nganengo we user name ako ngumu bana aaaghaa. Mkuje basiii
Mida ya wanga hii [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio unaonekana. Wapi baba chanja na baba kayaii?Nipo mpenzi
Ngoja nikawatafute [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Mida ya wanga hii [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio unaonekana. Wapi baba chanja na baba kayaii?
Usijali Bibie kichwa changu sio cha mchezo mchezo,kimeshapiga testa vitu vya india,china,moroco,malaysia,california na kwengineko. kiko imara.[emoji2] [emoji2] [emoji2] Anagalia isikubangue vibaya ukajikuta uwanja wa taifa kushangilia simba na yanga usiku huu