JamiiForums Usiku wa manane

Ahahahaaaaaa haiwezekani kabisa, namshukuru Mungu kwakweli weekend ndio hiyo imeishia kwa kitanda [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefurah umeme haujakatika
hongera kwa kweli na ni jambo la Kumshukuru Mungu pia!! siku nzima leo ulikua kitandani,, ??kuna watu wamesha achishwa kaz kwa ajili hiyo ya uneme
 
hongera kwa kweli na ni jambo la Kumshukuru Mungu pia!! siku nzima leo ulikua kitandani,, ??kuna watu wamesha achishwa kaz kwa ajili hiyo ya uneme
Sio nzima, nilimaanisha usiku huu kwamba sikuwa na movement zozote zaidi ya kupumnzika tuu.
Aliyejuu mngoje chini wenye mamlaka tuwaache na mamlaka zao sisi wanyonge tunamkabidhi Mungu tuu no way out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…