JamiiForums Usiku wa manane

Azam TV hawajajipiga promo sana kama DSTV,Naona MC hakupewa maneno maalum.
 
Hatimae waonekana baada ya mvua kuisha eeeh![emoji23] [emoji23] [emoji23]

Manga ML na Neybright wanaswali wanataka kukuuliza.[emoji40] [emoji40]
Na wewe ni shilawadu?
Kama mimi domo zege Neybright angishindwa kumuuliza?
 
Jamani,nina sign out. Sijamuona baba chanja wangu leo.
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Ndo nini kunitelekeza tena siku muhimu namna hii?

Japo nna roho ya chuma usichukulie poa mana maumivu yake hiyo roho ya nyama inasubili bila hesabu maumivu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…