Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Weee bahati mbaya tumekushtukia kwa hiyo haiwezekaniJamani jamani hii mibebishano yenu inanitamanisha kuwachonganisha....[emoji12] [emoji12] [emoji12] Tafadhali punguzeni ili mniepushe na dhambi hii![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekosa neno kwakweli nna shaka ni wa kitambo ila mhusika alikua halijui hili chimbo ndo paaap twashtukizwa sie ila tusikate tamaa kiti kilefu atakaa tu ipo siku
muda ukifika mtanipaTukupe funguo eeh?
shemejiiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]Naomba umweleze baby wako kwa sauti ya kumnong'oneza vinginevyo mtaniona hapa mwakani
Haya naona unaondoka na baby wako! Mlale unono....(simaanishi mkalale wote lakini)
Kesho hatuta fungua lakini
shemeji hulali naona umekesha...we nomaHakika tunamshukuru Muumba ametuwezesha kuina siku hii mpya
Mimi sina tatizo na wewe...heri yao waombao msamaha maana watasamehewaNisamehe tu shem....sitathubutu tena kuwachonganisha [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Popo sugu unasaidia sana sisi kuku hata nikusalim maana na dk 4 usingizi huoPopoziiii
Ndio mkuu. Mambo vipi?Kichwa kichafu
Umewahi kabla ya muda wizoPopoziiii
Hahahaha hapana mkuu mbona ya kawaida.Ebana mambo saf bosa wang hio avatar ukiwa muoga kwa usiku huu unalala roho juu juu
Maserati jirani akija naomba ufikishe salam
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji137]