JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Jamani jamani hii mibebishano yenu inanitamanisha kuwachonganisha....[emoji12] [emoji12] [emoji12] Tafadhali punguzeni ili mniepushe na dhambi hii![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Weee bahati mbaya tumekushtukia kwa hiyo haiwezekani
 
Nimekosa neno kwakweli nna shaka ni wa kitambo ila mhusika alikua halijui hili chimbo ndo paaap twashtukizwa sie ila tusikate tamaa kiti kilefu atakaa tu ipo siku
fec8d4873eac6e248ed4e20b8e65914b.jpg
 
Back
Top Bottom