Jerry santonga
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 645
- 562
Bia hiyo ni nzito...akiweza kukata balimi hizi serelite atakua anaona kama juice balimi bia ya kisukuma ile ni.shidaKwanini mkuu?
[emoji3] [emoji3]Hata usijisumbue bure....mie sibebishiki, ni wivu tu unanisumbua nikiona wanaobebishana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeona wote mnanipa pole kavu tu, ikabidi niombe hata sharubati/juisi kijanja
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hili naona umekubaliana na wahenga [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli nimeamini "every man has a price"
Bila shaka umependa zaidi ua kuliko boga lenyewe [emoji126] [emoji126]
Hahaha huoni wamepotea pamoja, itakua jirani kaitwa sirini akatoe maelezo[emoji40][emoji23] [emoji23] [emoji23] bila shaka hata wewe unatamani kuwafahamu!
Umeona eeeh!Hahaha huoni wamepotea pamoja, itakua jirani kaitwa sirini akatoe maelezo[emoji40]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Nimeshaghairi siushoni tena mdomo wangu... ukiniponza itakuwa ajali kazini tu! Baki na sindano yako[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uchochezi huu sasa, ngoja niwahishe Uzi na sindano fasta[emoji125]
Mkuu, jaribu hii dawa ni nzuri sana kwa kuleta usingingizi:-Usingizi sina
Lakini tungeanzisha group la wasap admin awe nganeno
[emoji3] [emoji3] [emoji119] [emoji42][emoji2] [emoji2] [emoji2] Nimeshaghairi siushoni tena mdomo wangu... ukiniponza itakuwa ajali kazini tu! Baki na sindano yako
Acha kumpotosha mwenzio [emoji23] [emoji23]Mkuu, jaribu hii dawa ni nzuri sana kwa kuleta usingingizi:-
Chukua bombadia 7
Changanya na kasichana kamoja
Ongeza balimi 3 kwenye mchanganyiko
Then bila kusahau changanya na pilipili kiganja kimoja na ugoro vijiko 2 vya chai.
Nb:- Ukipona tafadhali lete mrejesho hapa, bila kusahau balimi 3 za mtabibu
[emoji99] [emoji99] [emoji99][emoji3] [emoji3] [emoji119] [emoji42]
Hahaha tulia bibie, ujue mtaani naitwa dokta kwa kutibu matatizo kama yake[emoji40]Acha kumpotosha mwenzio [emoji23] [emoji23]
Naona sasa macho yamekosa umakini, wacha nikuache utufungie geti[emoji42] [emoji42] [emoji125] [emoji125][emoji99] [emoji99] [emoji99]
Kama ww umepotea sanmwana mpotevu. !!