Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Unajua kuwa shabiki wa team fulani hafu mkashinda gamu ngumu huwa ni furaha kubwa sana.salama kamanda tushirikishe hiyo furah
Ooohooo ...usingizi utakupitia sasa hivi!Yaani nipo ndani ya shuka moja zito hatari
AhahahaaaaaYeyote tu, nisije nikataja unayemhitaji sana,nilete mgongano wa kimaslahi bure! [emoji4] [emoji4]
Khaaa na wewe unaichukia madrid?[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]woyoooo ongeza hao
aisee hongera..!+ comrade me nilidhani umeleta kiumbe dunianiUnajua kuwa shabiki wa team fulani hafu mkashinda gamu ngumu huwa ni furaha kubwa sana.
Mi huwa ni spurs damu damu toka utoto ila leo tumemnyoosha huyu mbwa(madrid)
Waniazimisha yupi vile...[emoji4] [emoji4]Ahahahaaaaa
Basi sawa, nitakupatia mmoja wala usiwe na hofu kabisa
Ndo maana nilivyosema bora wafungwe, ukasita kuniletea tena updates....Khaaa na wewe unaichukia madrid?
Mkuu watu wenyewe tunakesha humu na upopo hata kuniwahisha kulala hayupo[emoji23] [emoji23] [emoji23]aisee hongera..!+ comrade me nilidhani umeleta kiumbe duniani
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji126] [emoji126]aisee hongera..!+ comrade me nilidhani umeleta kiumbe duniani
Hahahahaha kumbe uliniona nilijua umelala[emoji23] [emoji23]Kweli una furaha maana si kwa kushangilia kule lol!
[emoji87] [emoji87] [emoji40] [emoji40] [emoji125]Naomba uniazimishe shemeji, nitakurudishia mvua zikiisha.[emoji85] [emoji85]
Hunter hii furaha sio ya windo jipya kweli[emoji125]Leo nafuraha sana
Habari zenu popo wote
Nilikuona sana, nikajikausha tu.Hahahahaha kumbe uliniona nilijua umelala[emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125]Shemeji yako yupi unayemtaka wewe maana nina wengi,
Mtaje kwa jina ili pasiwe na ugumu wa kutafuta
Niulize tu mama swali lolote hata chochote nitakupa bibieNilikuona sana, nikajikausha tu.
Naomba nikuulize swali la kizushi...
Nganengo nini? Wewe si unaumwa....umeonaje hii comment yangu?[emoji87] [emoji87] [emoji40] [emoji40] [emoji125]
Hahhaahha mawindo huwa ni kufurahisha majukwaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hunter hii furaha sio ya windo jipya kweli[emoji125]
Kwanini mkiwa mnaangalia mpira huwa mnaongea lugha ngumu?Niulize tu mama swali lolote hata chochote nitakupa bibie
Hakujawa na baridi hiyo badoYaani nipo ndani ya shuka moja zito hatari
Hivi wewe ni shabiki wa timu gani? Kwa hapa tz najua hivyo usijisumbue kunambiaHunter hii furaha sio ya windo jipya kweli[emoji125]