Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Unajua kuwa shabiki wa team fulani hafu mkashinda gamu ngumu huwa ni furaha kubwa sana.salama kamanda tushirikishe hiyo furah
Mi huwa ni spurs damu damu toka utoto ila leo tumemnyoosha huyu mbwa(madrid)