JamiiForums Usiku wa manane

Kwanini mkiwa mnaangalia mpira huwa mnaongea lugha ngumu?
Hahahahaha kawaida ipo kama nature. Mazungumzo mengi kwa sisi (men) huwa ni mbaya mbaya mfano mzuri hata nikikutana na rafiki yangu sana kumuita majina ya ovyo ovyo tunaona ni kawaida kabisa kama mbwa, nyau, mwehu, fal*,n.k ipo kama nature. Sasa kwenye mpira mzuka huwa unazidi hapo ujikuta hata hayo maneno mabaya kuongezeka ila si kwa nia mbaya kabisa.




Kwa upande wenu lazima mpetia petiane baby, queen, honey hata kama ninyi kwa ninyi




nature hamna kingine
 
Hiyo lugha yenu huwa inanizuia kwenda kuangalia mpira hata kama ni mechi ninayoitamani vipi....maana huwa naogopa kuziba masikio [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…