spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,156
Wewe ni mshindi kwangu kila muda!AIsee spade unanipenda hadi raha jomoni
M[emoji742] [emoji765][emoji639] rAt[emoji671]AIsee spade unanipenda hadi raha jomoni
Spade wanguM[emoji742] [emoji765][emoji639] rAt[emoji671]
Nitalipamba jina lako kila usiku wa manane hadi roho yako isuudhike.Spade wangu
We lala mi ntakulinda. Lala unono!Jamani mie leo si simba si yangua. Usingizi sio wa nchi hii[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]spade lala bana tukue. Usiku mwema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakuonaga unakishaamka asubuhi unakuja kusign out na huo msemo wako. Unanichekeshaga kweli [emoji4] [emoji4]Last man standing
Oohooo! Vipi tena best?Jamani mie leo si simba si yangua. Usingizi sio wa nchi hii[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]spade lala bana tukue. Usiku mwema
Kwa kweli hiyo ole hainihusu kabisa maana mimi nalalia kitanda cha 2*6 sina upweke maana nabanana vyema na ukuta [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ole wao, walalao peke yao kwenye 6*6 kwa maana upweke na hasira bila kusahau popobawa havitawaacha salama[emoji40] [emoji125]
Mbona sasa hujaja? [emoji24] [emoji24] [emoji24]Wasije kuniwahi kesho nakuja[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] First bundi standing![emoji123] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Thad hapendi mimi kuwa last man standing
Tupo mamy!Humu ndanii mpoooo??
Mzima..je ww dear?Tupo mamy!
Mzima weye?